1 Mambo ya Nyakati 12 : 22 1st Chronicles chapter 12 verse 22

Swahili English Translation

1 Mambo ya Nyakati 12:22

Maana siku kwa siku humjia Daudi watu wa kumsaidia, hata wakapata kuwa jeshi kubwa, kama jeshi la Mungu.
soma Mlango wa 12

1st Chronicles 12:22

For from day to day men came to David to help him, until there was a great host, like the host of God.