1 Mambo ya Nyakati 21 : 13 1st Chronicles chapter 21 verse 13

Swahili English Translation

1 Mambo ya Nyakati 21:13

Naye Daudi akamwambia Gadi, Nimeingia katika mashaka sana; basi sasa na nianguke katika mkono wa Bwana; kwa kuwa rehema zake ni nyingi sana; wala nisianguke katika mkono wa wanadamu.
soma Mlango wa 21

1st Chronicles 21:13

David said to Gad, I am in a great strait: let me fall, I pray, into the hand of Yahweh; for very great are his mercies: and let me not fall into the hand of man.