1 Mambo ya Nyakati 22 : 1 1st Chronicles chapter 22 verse 1

Swahili English Translation

1 Mambo ya Nyakati 22:1

Ndipo Daudi akasema, Hii ndiyo nyumba ya Bwana Mungu, na hii ndiyo madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa kwa Israeli.
soma Mlango wa 22

1st Chronicles 22:1

Then David said, This is the house of Yahweh God, and this is the altar of burnt-offering for Israel.