1 Mambo ya Nyakati 24 : 3 1st Chronicles chapter 24 verse 3

Swahili English Translation

1 Mambo ya Nyakati 24:3

Akawagawanya Daudi, na Sadoki wa wana wa Eleazari, na Ahimeleki wa wana wa Ithamari, katika utumishi kwa kadiri ya usimamizi wao.
soma Mlango wa 24

1st Chronicles 24:3

David with Zadok of the sons of Eleazar, and Ahimelech of the sons of Ithamar, divided them according to their ordering in their service.