1 Mambo ya Nyakati 25 : 5 1st Chronicles chapter 25 verse 5

Swahili English Translation

1 Mambo ya Nyakati 25:5

hao wote ndio wana wa Hemani, mwonaji wa mfalme, kwa maneno ya Mungu, ili kuinua pembe. Naye Mungu akampa Hemani wana kumi na wanne na binti watatu.
soma Mlango wa 25

1st Chronicles 25:5

All these were the sons of Heman the king's seer in the words of God, to lift up the horn. God gave to Heman fourteen sons and three daughters.