1 Mambo ya Nyakati 9 : 1 1st Chronicles chapter 9 verse 1

Swahili English Translation

1 Mambo ya Nyakati 9:1

Hivyo Israeli wote walihesabiwa kwa nasaba; na tazama, hizo zimeandikwa katika kitabu cha wafalme wa Israeli; na Yuda wakachukuliwa mateka mpaka Babeli, kwa sababu ya makosa yao.
soma Mlango wa 9

1st Chronicles 9:1

So all Israel were reckoned by genealogies; and, behold, they are written in the book of the kings of Israel: and Judah was carried away captive to Babylon for their disobedience.