1 Wafalme 7 : 21 1st Kings chapter 7 verse 21

Swahili English Translation

1 Wafalme 7:21

Akazisimamisha nguzo ukumbini pa hekalu; akaisimamisha nguzo ya kuume, akaiita jina lake Yakini; akaisimamisha nguzo ya kushoto ,akaiita jina lake Boazi.
soma Mlango wa 7

1st Kings 7:21

He set up the pillars at the porch of the temple: and he set up the right pillar, and called the name of it Jachin; and he set up the left pillar, and called the name of it Boaz.