2 Mambo ya Nyakati 18 : 2 2nd Chronicles chapter 18 verse 2

Swahili English Translation

2 Mambo ya Nyakati 18:2

Hata baada ya miaka kadha wa kadha akamshukia Ahabu huko Samaria. Ahabu akamchinjia kondoo na ng'ombe tele, yeye na watu waliokuwa pamoja naye, akamshawishi ili apande pamoja naye waende Ramoth-gileadi.
soma Mlango wa 18

2nd Chronicles 18:2

After certain years he went down to Ahab to Samaria. Ahab killed sheep and oxen for him in abundance, and for the people who were with him, and moved him to go up [with him] to Ramoth-gilead.