2 Mambo ya Nyakati 22 : 2 2nd Chronicles chapter 22 verse 2
Swahili | English Translation |
---|---|
2 Mambo ya Nyakati 22:2
Ahazia alikuwa na umri wa miaka arobaini na miwili alipoanza kutawala; akatawala mwaka mmoja huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Athalia binti Omri.
|
2nd Chronicles 22:2Forty-two years old was Ahaziah when he began to reign; and he reigned one year in Jerusalem: and his mother's name was Athaliah the daughter of Omri. |