Kutoka 1 : 1 Exodus chapter 1 verse 1

Swahili English Translation

Kutoka 1:1

Basi majina ya wana wa Israeli walioingia Misri ni haya; kila mtu pamoja na jamaa zake walikuja pamoja na Yakobo.
soma Mlango wa 1

Exodus 1:1

Now these are the names of the sons of Israel, who came into Egypt (every man and his household came with Jacob):