Mwanzo 25 : 27 Genesis chapter 25 verse 27
Swahili | English Translation |
---|---|
Mwanzo 25:27
Watoto wakakua, Esau alikuwa mtu ajuaye kuwinda wanyama, mtu wa nyikani, na Yakobo alikuwa mtu mtulivu, mwenye kukaa hemani.
|
Genesis 25:27The boys grew. Esau was a skillful hunter, a man of the field. Jacob was a quiet man, living in tents. |