Mwanzo 8 : 5 Genesis chapter 8 verse 5

Swahili English Translation

Mwanzo 8:5

Maji yakapunguka-punguka hata mwezi wa kumi; mwezi huo wa kumi, siku ya kwanza ya mwezi, vilele vya milima vikaonekana.
soma Mlango wa 8

Genesis 8:5

The waters receded continually until the tenth month. In the tenth month, on the first day of the month, the tops of the mountains were seen.