Nehemia 2 : 20 Nehemiah chapter 2 verse 20
Swahili | English Translation |
---|---|
Nehemia 2:20
Ndipo nikawajibu, nikawaambia, Mungu wa mbinguni, yeye atatufanikisha; kwa hiyo sisi, watumishi wake, tutaondoka na kujenga; lakini ninyi hamna sehemu, wala haki, wala kumbukumbu, katika Yerusalemu. </p>
|
Nehemiah 2:20Then answered I them, and said to them, The God of heaven, he will prosper us; therefore we his servants will arise and build: but you have no portion, nor right, nor memorial, in Jerusalem. |