Boaz Danken - Ujulikane YESU Lyrics

Ujulikane YESU Lyrics

Ujulikane uhamisha milima ujulikane
Ujulikane mtenda miujiza ujulikane
Ujulikane uko pekee yako ujulikane Yesu
Ujulikane wewe ni mungu ujulikane

Ujulikane uhamisha milima ujulikane
Ujulikane mtenda miujiza ujulikane
Ujulikane uko pekee yako ujulikane Yesu
Ujulikane wewe ni mungu ujulikane

Ujulikane uhamisha milima ujulikane
Ujulikane mtenda miujiza ujulikane
Ujulikane uko pekee yako ujulikane Yesu
Ujulikane wewe ni mungu ujulikane

Twakutukuza uhamisha milima twakutukuza
Twakutukuza mtenda miujiza twakutukuza
Twakutukuza uko pekee yako twakutukuza Yesu
Twakutukuza wewe ni mungu twakutukuza

Twakutukuza mhamisha milima twakutukuza
Twakutukuza mtenda miujiza twakutukuza
Twakutukuza uko pekee yako twakutukuza Yesu
Twakutukuza wewe ni mungu twakutukuza

Twakuinua uhamisha milima twakuinua 
Twakuinua mtenda miujiza twakuinua 
Twakuinua uko pekee yako twakuinua Yesu
Twakuinua wewe ni mungu twakuinua

Twakuabudu uhamisha milima twakuabudu
Twakuabudu mtenda miujiza twakuabudu
Twakuabudu uko pekee yako twakuabudu Yesu
Twakuabudu wewe ni mungu twakuabudu



Twakuabudu uhamisha milima twakuabudu
Twakuabudu mtenda miujiza twakuabudu
Twakuabudu uko pekee yako twakuabudu Yesu
Twakuabudu wewe ni mungu twakuabudu

Twakuinua uhamisha milima twakuinua 
Twakuinua mtenda miujiza twakuinua 
Twakuinua uko pekee yako twakuinua Yesu
Twakuinua wewe ni mungu twakuinua

Twakuinua uhamisha milima twakuinua 
Twakuinua mtenda miujiza twakuinua 
Twakuinua uko pekee yako twakuinua Yesu
Twakuinua wewe ni mungu twakuinua

Twakuinua uko pekee yako twakuinua Yesu
Twakuinua wewe ni mungu twakuinua
Twakuinua uko pekee yako twakuinua Yesu
Twakuinua wewe ni mungu twakuinua
Twakuinua uko pekee yako twakuinua Yesu
Twakuinua wewe ni mungu twakuinua

Tunainama uko pekee yako tunaima
Tunainama wewe ni mungu tunainama
Tunainama uko pekee yako tunaima
Tunainama wewe ni mungu tunainama
Tunakuabudu uko pekee yako tunakuabudu Yesu
Tunakuabudu wewe ni mungu tunakuabudu
Tunasujudu uko pekee yako tunasujudu Yesu
Tunasujudu wewe ni mungu tunasujudu
Tunasujudu uko pekee yako tunasujudu Yesu
Tunasujudu wewe ni mungu tunasujudu
Tunakuabudu uko pekee yako tunakuabudu Yesu
Tunakuabudu wewe ni mungu tunakuabudu

Tunakuabudu uko pekee yako tunakuabudu Yesu
Tunakuabudu wewe ni mungu tunakuabudu
Tunasujudu uko pekee yako tunasujudu Yesu
Tunasujudu wewe ni mungu tunasujudu












Ujulikane YESU Video

Ujulikane YESU Lyrics -  Boaz Danken

Boaz Danken Songs

Related Songs