Paul Clement - Bado naishi Lyrics

Bado naishi Lyrics

Baada ya haya yote niliyoyapitia 
Bado naishi bado naishi
Hayajaniua yamenipa nguvu
Bado naishi bado naishi
Wengi walidhani sitasimama tena
Bado naishi bado naishi
Wengine walitabiri sitaona kesho
Bado naishi bado naishi
Mimi ni ushuhuda unaotembea 
Bado naishi bado naishi

Bado naishi, bado naishi
Majaribu hayajaniua
Bado naishi, bado naishi
Bado naishi, bado naishi
Mungu ananilinda
Bado naishi bado naishi
Na magonjwa hayajaniua
Bado naishi bado naishi

Wengi waliulizana kama bado ninahema
Kumbe nilifunga macho nikiomba
Walijua nimekufa wakasimama kunichimbia kaburi langu
Machozi yangu kageuka furaha uchungu yangu kuwa amani
Mungu akanifanyia kicheko mbele ya watezi wangu
Ananipenda ananipenda 
Ananiwazia yaliyomema 
Katika ya mawazo mabaya anainua wazo lake njema
Anatupenda anatupenda 
Anatuwazia yaliyomema
Katika ya mawazo mabaya anainua wazo lake njema

Bado naishi
Bado naishi 
Bado naishi
Bado naishi 
Na magonjwa
Hayajaniua
Mimi bado naishi
Bado naishi 
Bado naishi
Namshukuru Mungu
Bado naishi 
Na maneno
Hayajaniua
Mimi bado naishi
Bado naishi
Na mawazo 
Hayajaniua
Mimi bado naishi
Bado naishi








Bado naishi Video

Paul Clement Songs

Related Songs