Zabron Singers - NIFUNDISHE Lyrics

NIFUNDISHE Lyrics

Anatupenda
Anatupenda
Anatupenda

Ii ii 
Ii ii 
ii ii

maisha ya mwanadamu
kuishi kwake huwa mara moja
yakishapita huwezi kuyarudi

Bwana twaishi 
twaishi kwa nguvu za mungu pia 
uwezo wake
tumkumbuke mungu siku za uhai wetu

kama unataka miujiza 
ni huu hapa sasa
kwa wewe kuamka
Je ni wanagpi wamelala
na wameshinda kuamka
kwani wewe ni nani?
Au unafikiri uzuri wako
umekufanya uwe hai
au ni daktari wako

Hey si kwa nguvu zangu mimi
wala nguvu zako wewe 
ila nguvu zake mungu 
Ndio maana tuko hai 
anazidi kutulinda
ameonekana kwetu



(Nifundishe)
Nifundishe kukutegemea
kwa hali zote ninazopitia
(hata kwa magumu yetu)
wewe ndio kimbilio langu
(kwa magumu baba)
wewe ndio ngome yangu
(hallelluya)
hallelluya

(Nifundishe)
Nifundishe kukutegemea
kwa hali zote ninazopitia
(hata kwa magumu yetu)
wewe ndio kimbilio langu
(kwa magumu baba)
wewe ndio ngome yangu
(hallelluya)
hallelluya

wanijua baba
ee wanijua baba
wanijua mungu

Alisema kisa liwe nalo likawa
Kwa fimbo Musa bahari likagawa
kwa nuru aliwaacha mdomo wazi
mtu wa nne alitoka wapi
kwa kuguza pinde
yule mwanamke akapona aa
Bartimayo naye kapona kwa mate na tope
haaanza jana na wala haishi leo
ni mungu wa Yakobo,Daudi milele Amina

Ebu fikiria imani yako hivyo ndugu
na matendo yako madogo 
anakulinda bado
Ni dhahiri kuwa mungu wetu huyu
anatupenda
anatupenda
Hallelluya
anatupenda

anakupenda ulivyo
anatupenda
ulivyo wewe
anatupenda
mungu wangu
anatupenda

(Nifundishe)
Nifundishe kukutegemea
kwa hali zote ninazopitia
(hata kwa magumu yetu)
wewe ndio kimbilio langu
(kwa magumu baba)
wewe ndio ngome yangu
(hallelluya)
hallelluya

(Nifundishe)
Nifundishe kukutegemea
kwa hali zote ninazopitia
(hata kwa magumu yetu)
wewe ndio kimbilio langu
(kwa magumu baba)
wewe ndio ngome yangu
(hallelluya)
hallelluya

anatupenda
anatupenda
anatupenda
anakupenda ulivyo
anatupenda
ulivyo wewe
anatupenda

nikiwa kwa amani ninaimba
Hallelluya
Hallelluya
Hallelluya
Hata kwenye dhiki naimba
Hallelluya
Hallelluya
Hallelluya

nikiwa kwa amani ninaimba
usifiwe eeee


NIFUNDISHE Video

 NIFUNDISHE Lyrics -  Zabron Singers

Zabron Singers Songs

Related Songs