Kutoka 28 : 28 Exodus chapter 28 verse 28

Swahili English Translation

Kutoka 28:28

Nao watakikaza kile kileso kwa zile pete zake kwenye pete za naivera kwa ukanda wa rangi ya samawi, ili kwamba kikae pale juu ya ule mshipi wa naivera uliosukwa kwa ustadi, ili kwamba kifuko cha kifuani kisiachane na naivera.
soma Mlango wa 28

Exodus 28:28

They shall bind the breastplate by the rings of it to the rings of the ephod with a lace of blue, that it may be on the skillfully woven band of the ephod, and that the breastplate may not swing out from the ephod.