1 Mambo ya Nyakati 8 Swahili & English
Listen/Download Audio1 Mambo ya Nyakati 8 (Swahili) | 1st Chronicles 8 (English) |
---|---|
Naye Benyamini akamzaa Bela, mzaliwa wake wa kwanza, na wa pili Ashbeli, na wa tatu Ahiramu; 1 Mambo ya Nyakati 8:1 |
Benjamin became the father of Bela his firstborn, Ashbel the second, and Aharah the third, |
na wa nne Noha, na wa tano Rafa. 1 Mambo ya Nyakati 8:2 |
Nohah the fourth, and Rapha the fifth. |
Na Bela alikuwa na wana; Adari, na Gera, na Abihudi; 1 Mambo ya Nyakati 8:3 |
Bela had sons: Addar, and Gera, and Abihud, |
na Abishua, na Naamani, na Ahoa; 1 Mambo ya Nyakati 8:4 |
and Abishua, and Naaman, and Ahoah, |
na Gera, na Shufamu, na Huramu. 1 Mambo ya Nyakati 8:5 |
and Gera, and Shephuphan, and Huram. |
Na hawa ndio wana wa Ehudi. (Hao ndio wakuu wa mbari za baba zao miongoni mwa wenyeji wa Geba; nao wakawachukua mateka mpaka Manahathi; 1 Mambo ya Nyakati 8:6 |
These are the sons of Ehud: these are the heads of fathers' [houses] of the inhabitants of Geba, and they carried them captive to Manahath: |
na Naamani, na Ahoa, na Gera; aliwachukua mateka). Naye akamzaa Uza, na Ahihudi. 1 Mambo ya Nyakati 8:7 |
and Naaman, and Ahijah, and Gera, he carried them captive: and he became the father of Uzza and Ahihud. |
Na Shaharaimu akazaa watoto katika Bara-Moabu, baada ya kuwafukuza wakeze Hushimu na Baara. 1 Mambo ya Nyakati 8:8 |
Shaharaim became the father of children in the field of Moab, after he had sent them away; Hushim and Baara were his wives. |
Akazaliwa na Hodeshi, mkewe; Yobabu, na Sibia, na Mesha, na Malkamu; 1 Mambo ya Nyakati 8:9 |
He became the father of Hodesh his wife, Jobab, and Zibia, and Mesha, and Malcam, |
na Yeusi, na Shakia, na Mirma. Hao ndio wanawe, wakuu wa mbari za baba zao. 1 Mambo ya Nyakati 8:10 |
and Jeuz, and Shachia, and Mirmah. These were his sons, heads of fathers' [houses]. |
Naye alikuwa amezaliwa na Hushimu, Abitubu, na Elpaali. 1 Mambo ya Nyakati 8:11 |
Of Hushim he became the father of Abitub and Elpaal. |
Na wana wa Elpaali; Eberi, na Mishamu, na Shemedi, ambaye ndiye aliyejenga Ono na Lodi, pamoja na vijiji vyake; 1 Mambo ya Nyakati 8:12 |
The sons of Elpaal: Eber, and Misham, and Shemed, who built Ono and Lod, with the towns of it; |
na Beria, na Shema, waliokuwa wakuu wa mbari za baba zao miongoni mwa wenyeji wa Aiyaloni, wale ambao waliwakimbiza wenyeji wa Gathi. 1 Mambo ya Nyakati 8:13 |
and Beriah, and Shema, who were heads of fathers' [houses] of the inhabitants of Aijalon, who put to flight the inhabitants of Gath; |
Na Ahio, na Ghashaki, na Yeremothi; 1 Mambo ya Nyakati 8:14 |
and Ahio, Shashak, and Jeremoth, |
na Zebadia, na Aradi, na Ederi; 1 Mambo ya Nyakati 8:15 |
and Zebadiah, and Arad, and Eder, |
na Mikaeli, na Ishpa, na Yoha; walikuwa wana wa Beria. 1 Mambo ya Nyakati 8:16 |
and Michael, and Ishpah, and Joha, the sons of Beriah, |
Na Zebadia, na Meshulamu, na Hizki, na Heberi; 1 Mambo ya Nyakati 8:17 |
and Zebadiah, and Meshullam, and Hizki, and Heber, |
na Ishmerai, na Izlia, na Yobabu; walikuwa wana wa Elpaali. 1 Mambo ya Nyakati 8:18 |
and Ishmerai, and Izliah, and Jobab, the sons of Elpaal, |
Na Yakimu, na Zikri, na Zabdi; 1 Mambo ya Nyakati 8:19 |
and Jakim, and Zichri, and Zabdi, |
na Elienai, na Silethai, na Elieli; 1 Mambo ya Nyakati 8:20 |
and Elienai, and Zillethai, and Eliel, |
na Adaya, na Beraya, na Shimrathi; walikuwa wana wa Shema. 1 Mambo ya Nyakati 8:21 |
and Adaiah, and Beraiah, and Shimrath, the sons of Shimei, |
Na Ishpani, na Eberi, na Elieli; 1 Mambo ya Nyakati 8:22 |
and Ishpan, and Eber, and Eliel, |
na Abdoni, na Zikri, na Hanani; 1 Mambo ya Nyakati 8:23 |
and Abdon, and Zichri, and Hanan, |
na Hanania, na Elamu, na Anthothiya; 1 Mambo ya Nyakati 8:24 |
and Hananiah, and Elam, and Anthothijah, |
na Ifdeya, na Penueli; walikuwa wana wa Shashaki. 1 Mambo ya Nyakati 8:25 |
and Iphdeiah, and Penuel, the sons of Shashak, |
Na Shamsherai, na Sheharia, na Athalia; 1 Mambo ya Nyakati 8:26 |
and Shamsherai, and Shehariah, and Athaliah, |
na Yaareshia, na Eliya, na Zikri; walikuwa wana wa Yerohamu. 1 Mambo ya Nyakati 8:27 |
and Jaareshiah, and Elijah, and Zichri, the sons of Jeroham. |
Hao ndio waliokuwa wakuu wa mbari za baba zao, katika vizazi vyao vyote, watu maarufu; na hao walikuwa wakikaa Yerusalemu. 1 Mambo ya Nyakati 8:28 |
These were heads of fathers' [houses] throughout their generations, chief men: these lived in Jerusalem. |
Basi huko Gibea alikaa babaye Gibea, jina lake Yeieli, ambaye jina la mkewe aliitwa Maaka; 1 Mambo ya Nyakati 8:29 |
In Gibeon there lived the father of Gibeon, [Jeiel], whose wife's name was Maacah; |
na mwanawe, mzaliwa wake wa kwanza, alikuwa Abdoni, na Suri, na Kishi, na Baali, na Nadabu; 1 Mambo ya Nyakati 8:30 |
and his firstborn son Abdon, and Zur, and Kish, and Baal, and Nadab, |
na Gedori, na Ahio, na Zekaria 1 Mambo ya Nyakati 8:31 |
and Gedor, and Ahio, and Zecher. |
Na Miklothi akamzaa Shimea. Na hao nao walikuwa wakikaa pamoja na ndugu zao huko Yerusalemu, kuwakabili ndugu zao. 1 Mambo ya Nyakati 8:32 |
Mikloth became the father of Shimeah. They also lived with their brothers in Jerusalem, over against their brothers. |
Naye Neri akamzaa Kishi; na Kishi akamzaa Sauli; na Sauli akamzaa Yonathani, na Malkishua, na Abinadabu, na Eshbaali. 1 Mambo ya Nyakati 8:33 |
Ner became the father of Kish; and Kish became the father of Saul; and Saul became the father of Jonathan, and Malchishua, and Abinadab, and Eshbaal. |
Na mwanawe Yonathani alikuwa Meribaali; na Meribaali akamzaa Mika. 1 Mambo ya Nyakati 8:34 |
The son of Jonathan was Merib Baal; and Merib Baal became the father of Micah. |
Na wana wa Mika; Pithoni, na Meleki, na Tarea, na Ahazi. 1 Mambo ya Nyakati 8:35 |
The sons of Micah: Pithon, and Melech, and Tarea, and Ahaz. |
Na Ahazi akamzaa Yara; na Yara akamzaa Alemethi, na Azmawethi, na Zimri; na Zimri akamzaa Mosa; 1 Mambo ya Nyakati 8:36 |
Ahaz became the father of Jehoaddah; and Jehoaddah became the father of Alemeth, and Azmaveth, and Zimri; and Zimri became the father of Moza. |
na Mosa akamzaa Binea; na mwanawe huyo alikuwa Refaya, na mwanawe huyo ni Ekasa, na mwanawe huyo ni Aseli; 1 Mambo ya Nyakati 8:37 |
Moza became the father of Binea; Raphah was his son, Eleasah his son, Azel his son. |
naye Aseli alikuwa na wana sita, ambao majina yao ni haya; Azrikamu, na Bokeru, na Ishmaeli, na Shearia, na Obadia, na Hanani. Hao wote walikuwa wana wa Aseli. 1 Mambo ya Nyakati 8:38 |
Azel had six sons, whose names are these: Azrikam, Bocheru, and Ishmael, and Sheariah, and Obadiah, and Hanan. All these were the sons of Azel. |
Na wana wa Esheki nduguye ni hawa; mzaliwa wake wa kwanza, Ulamu, na wa pili Yeushi, na wa tatu Elifeleti. 1 Mambo ya Nyakati 8:39 |
The sons of Eshek his brother: Ulam his firstborn, Jeush the second, and Eliphelet the third. |
Na wana wa Ulamu walikuwa watu hodari wa vita, wapiga upinde, nao walikuwa na wana wengi, na wana wa wana, watu mia na hamsini. Hao wote ndio waliokuwa wana wa Benyamini. 1 Mambo ya Nyakati 8:40 |
The sons of Ulam were mighty men of valor, archers, and had many sons, and sons' sons, one hundred fifty. All these were of the sons of Benjamin. |