Books
Chapters
Mwanzo
Kutoka
Mambo ya Walawi
Hesabu
Kumbukumbu la Torati
Yoshua
Waamuzi
Ruthu
1 Samweli
2 Samweli
1 Wafalme
2 Wafalme
1 Mambo ya Nyakati
2 Mambo ya Nyakati
Ezra
Nehemia
Esta
Ayabu
Zaburi
Mithali
Mhubiri
Wimbo Ulio Bora
Isaya
Yeremia
Maombolezo
Ezekieli
Danieli
Hosea
Yoeli
Amosi
Obadia
Yona
Mika
Nahumu
Habakuki
Sefania
Hagai
Zekaria
Malaki
Mathayo
Marko
Luka
Yohana
Matendo ya Mitume
Warumi
1 Wakorintho
2 Wakorintho
Wagalatia
Waefeso
Wafilipi
Wakolosai
1 Wathesalonike
2 Wathesalonike
1 Timotheo
2 Timotheo
Tito
Filemoni
Waebrania
Yakobo
1 Petro
2 Petro
1 Yohana
2 Yohana
3 Yohana
Yuda
Ufunuo wa Yohana
Zaburi 120 Swahili & English
Listen/Download AudioZaburi 120 (Swahili) | Psalms 120 (English) |
---|---|
Katika shida yangu nalimlilia Bwana Naye akaniitikia. Zaburi 120:1 |
> In my distress, I cried to Yahweh. He answered me. |
Ee Bwana, uiponye nafsi yangu Na midomo ya uongo na ulimi wa hila. Zaburi 120:2 |
Deliver my soul, Yahweh, from lying lips, From a deceitful tongue. |
Akupe nini, akuzidishie nini, Ewe ulimi wenye hila? Zaburi 120:3 |
What will be given to you, and what will be done more to you, You deceitful tongue? |
Mishale ya mtu hodari iliyochongoka, Pamoja na makaa ya mretemu. Zaburi 120:4 |
Sharp arrows of the mighty, With coals of juniper. |
Ole wangu mimi! Kwa kuwa nimekaa katika Mesheki; Na kufanya maskani yangu Katikati ya hema za Kedari. Zaburi 120:5 |
Woe is me, that I live in Meshech, That I dwell among the tents of Kedar! |
Nafsi yangu imekaa siku nyingi, Pamoja naye aichukiaye amani. Zaburi 120:6 |
My soul has had her dwelling too long With him who hates peace. |
Mimi ni wa amani; Bali ninenapo, wao huelekea vita. Zaburi 120:7 |
I am for peace, But when I speak, they are for war. |